Bienvenido a nuestro sitio web

MENU
Mifuko ya Plastiki

Mifuko ya Plastiki

May 31, 2019 Zaidi ya hilo, mifuko ya plastiki inatajwa kuwa na madhara makubwa kwa viumbe wa majini, baharini, kwenye mito na maziwa. Taarifa ya Umoja wa Mataifa (UN) ya mwaka jana inaonyesha kuwa tani milioni nane za plastiki humwagwa baharini kila mwaka, ingawa hii inahusisha na bidhaa nyingine za plastiki lakini sehemu kubwa ni mifuko

Últimas noticias

 • Mifuko ya plastiki yazagaa Sinya - IPPMEDIA

  Mifuko ya plastiki yazagaa Sinya - IPPMEDIA

  LICHA ya katazo la matumizi ya mifuko ya plastiki, maeneo mengi ya Jumuiya ya Enduiment (EWMA), Katika Kata ya Sinya, wilayani Longido, imeonekana kukithiri kwa mifuko hiyo na kuleta athari kwa binadamu,wanayamapori na wafugwao pamoja na viumbe hai

 • Waziri Jafo atoa siku 45 kuteketeza shehena ya kontena za

  Waziri Jafo atoa siku 45 kuteketeza shehena ya kontena za

  Sep 27, 2021 “Juni 2019 Serikali ilipiga marufuku matumizi ya mifuko hii ya plastiki kwahiyo natoa siku arobaini na tano kwa vyombo vyote kushirikiana kusimamia zoezi la kuteketeza kontena za mifuko ya plastiki iliyo kinyume na Sheria ya Tanzania na Uharibifu huu utasimamiwa na watu wa Mazingira NEMC

 • Mifuko ya plastiki, katika hati, kwa ajili ya maduka makubwa

  Mifuko ya plastiki, katika hati, kwa ajili ya maduka makubwa

  Matokeo ya: Mifuko ya plastiki, katika hati, kwa ajili ya maduka makubwa Kupatikana 85 makampuni

 • Katazo la Mifuko ya Plastiki lafanikiwa - Blogu Rasmi ya

  Katazo la Mifuko ya Plastiki lafanikiwa - Blogu Rasmi ya

  Apr 29, 2021 Utekelezaji wa marufuku ya utumiaji wa mifuko ya plastiki umefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika kipindi chote cha takribani miaka miwili toka Serikali ilipotoa tangazo hilo. Hayo yamebainishwa leo na Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Andrew Komba wakati akifungua Warsha ya wataalamu wa mazingira wa mikoa kuhusu utekelezaji wa

 • Waonywa matumizi ya mifuko ya plastiki

  Waonywa matumizi ya mifuko ya plastiki

  May 26, 2015 WANANCHI wameshauriwa kutotumia mifuko ya plastiki na vifungio vyake kwa ajili ya kuwekea au kuifadhi chakula na badala yake watumie vifungashio vya glasi na chuma isiyoshika kutu na vyombo vingine vya asili. Kauli hiyo imetolewa bungeni na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Stephen Maselle, alipokuwa akijibu swali la

 • RIPOTI MAALUM; Mifuko mbadala changamoto

  RIPOTI MAALUM; Mifuko mbadala changamoto

  RIPOTI MAALUM; Mifuko mbadala changamoto. LEO ni mwisho wa kutumia na kuzalisha mifuko ya plastiki, hatua inayokuja wakati taifa likishuhudia maelfu ya tani za bidhaa hizo ikiwamo mifuko zikijazana baharini, kwenye maziwa, ndani ya mito na nyingine zikijishindilia, chini na juu ya ardhi. Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakichangamkia fursa kwa

 • Mifuko ya plastiki kupigwa marufuku Kenya - BBC News Swahili

  Mifuko ya plastiki kupigwa marufuku Kenya - BBC News Swahili

  Mar 15, 2017 Serikali ya Kenya imetangaza kwamba itapiga marufuku uzalishaji na matumizi ya mifuko ya plastiki nchini humo. Marufuku hiyo itaanza kutekelezwa Septemba mwaka huu. Waziri wa Mazingira na Mali

 • KIHOJA. Mifuko Ya Plastiki Na mbadala Wake | JamiiForums

  KIHOJA. Mifuko Ya Plastiki Na mbadala Wake | JamiiForums

  May 18, 2019 Hili katazo La mifuko Ya Plastic(Rambo) litatuua, nmenunua chapati wamenifungia na rababend[emoji2948]

 • Kantate Mangowi - Bussnes - Self-Employed | LinkedIn

  Kantate Mangowi - Bussnes - Self-Employed | LinkedIn

  @JMakamba Tupo tayari kuondokana na mifuko ya plastiki ifikapo tarehe 1 Juni. Wiki ijayo tutatoa utaratibu wa kusalimisha shehena ya mifuko iliyopo… Shared by Kantate Mangowi. Join now to see all activity Experience Bussnes Self-Employed May 2014

 • Wapewa onyo matumizi mifuko ya plastiki - IPPMEDIA

  Wapewa onyo matumizi mifuko ya plastiki - IPPMEDIA

  Mkuu wa idara ya mazingira katika manispaa hiyo, Tambuko Joseph, amesema kuwa katazo la mifuko ya plastiki lilitolewa Mei 17, 2019 kupitia tangazo namba 394 kutokana na uwepo wa mifuko (vibebeo) iliyotengenezwa kwa malighafi ya plastiki ambayo haikidhi viwango, lakini bado baadhi ya wananchi wameendelea kutumia mifuko hiyo

 • Serikali igeukie mifuko ya plastiki kulinda mazingira

  Serikali igeukie mifuko ya plastiki kulinda mazingira

  Serikali igeukie mifuko ya plastiki kulinda mazingira. MIFUKO ya Plastiki ina athari kubwa kwa mazingira na afya ya binadamu licha ya kutumika katika shughuli mbalimbali za kuhifadhia vitu. Hii ni kwa mujibu ya wanasayansi waliowahi kufanya utafiti juu ya athari za matumizi ya mifuko hiyo kwa maisha ya watu

 • Waziri Jafo aagiza makontena 45 yenye mifuko ya plastiki

  Waziri Jafo aagiza makontena 45 yenye mifuko ya plastiki

  Sep 28, 2021 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo, ametoa siku 45 kwa Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania bandarini, Florence Mniko, kuteketeza makontena matano yenye mifuko ya plastiki yaliyotelekezwa Bandari Kavu ya Ubungo, Dar es Salaam

 • Waziri Jafo Atoa Siku 45 Kuteketeza Shehena Ya Kontena Za

  Waziri Jafo Atoa Siku 45 Kuteketeza Shehena Ya Kontena Za

  Sep 27, 2021 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Selemani Jafo ametoa siku arobaini na tano kwa wataalamu wa Bandari, TRA, TBS na NEMC kwa Pamoja kushirikiana kwa mujibu wa sheria kuteketeza kontena za mizigo ya mifuko ya plastiki iliyopo bandari kavu ya Ubungo jijini Dar es salaam

 • Mwisho katazo mifuko ya plastiki leo - IPPMEDIA

  Mwisho katazo mifuko ya plastiki leo - IPPMEDIA

  Mwisho katazo mifuko ya plastiki leo. 08Apr 2021. Christina Mwakangale. DAR ES SALAAM. Biashara. Nipashe. Mwisho katazo mifuko ya plastiki leo. BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limesema leo ni mwisho wa matumizi ya mifuko ya plasitiki, ambayo haikidhi vigezo pamoja na kuthibitishwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS)

 • Mifuko ya plastiki, katika hati, kwa ajili ya maduka

  Mifuko ya plastiki, katika hati, kwa ajili ya maduka

  Matokeo ya: Mifuko ya plastiki, katika hati, kwa ajili ya maduka makubwa Kupatikana 85 makampuni

 • Je marufuku ya plastiki imefaulu Kenya? - BBC News

  Je marufuku ya plastiki imefaulu Kenya? - BBC News

  Sep 05, 2017 Yeyote anayepatikana kutengeneza, kuingiza nchini au kuuza mifuko ya plastiki anaweza kutozwa faini ya hadi $40,000 ( 32,000) au

 • WAZIRI JAFO ATOA SIKU 45 KUTEKETEZA SHEHENA

  WAZIRI JAFO ATOA SIKU 45 KUTEKETEZA SHEHENA

  Sep 27, 2021 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Selemani Jafo ametoa siku arobaini na tano kwa wataalamu wa Bandari, TRA, TBS na NEMC kwa Pamoja kushirikiana kwa mujibu wa sheria kuteketeza kontena za mizigo ya mifuko ya plastiki iliyopo bandari kavu ya Ubungo jijini Dar es salaam

 • Waziri Jafo aagiza makontena 45 yenye mifuko ya

  Waziri Jafo aagiza makontena 45 yenye mifuko ya

  Sep 28, 2021 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo, ametoa siku 45 kwa Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania bandarini, Florence Mniko, kuteketeza makontena matano yenye mifuko ya plastiki yaliyotelekezwa Bandari Kavu ya Ubungo, Dar es Salaam

NOTICIAS

Más reciente & noticias

Click avatar to contact us
Click avatar to contact us
gotop